Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,088
- 95,734
Selfika sasa π π€£Ndyoo tuma hapa nionee ulikomtoaa
πππππ
Selfika sasa π π€£Ndyoo tuma hapa nionee ulikomtoaa
πππππ
ππππππ jamaniiiiii, Dp ya SK hiyo ya tsup, ni babu yake au.
Hapana mama...Wee naee SK kupendwaa, bas unaanza kuringa na kujiona, mie ndo ntaanza kukuchamba,
Mxxxxiiiiieeeew, ππππππ
Shemeji ndugu yetu kaja bila shaka umemuona ππππππ mtasema yotee, wee subiriii.
Hapana ni picha moja hivi niliitoa insta kwa mtu anajiita Nsamila photosππππππ jamaniiiiii, Dp ya SK hiyo ya tsup, ni babu yake au.
Hamna mzee wa kwenye meme πππππππ jamaniiiiii, Dp ya SK hiyo ya tsup, ni babu yake au.
Haya timiza ahadi ya ku selfikaπ¦Nimemuonaaa Ba tamu akee, ahsantee kina Mejii kwa kumletaaa.
πππππ
Kaka kakaπ€£π€£π€£
Subiri cocastic aselfike kama alivyo ahidiTreasure link inakutoshaππ
πππππ em itoe, khaaah km zeee lilochunda baada ya mafao ya ustaafu kuisha. LolHapana ni picha moja hivi niliitoa insta kwa mtu anajiita Nsamila photos
Tupo pamoja shemeji πNimemuonaaa Ba tamu akee, ahsantee kina Mejii kwa kumletaaa.
πππππ
ahadi ni deni ohhπ¦Sitakiiiii, hadi awepoo SK ndo ntaweka special kwa yeye.
πππππ
ππππππ aaah wapiiii!!ahadi ni deni ohhπ¦
Usha anza uswahili, na nina nondo zako ko usi nikasirisheπ¦Aanzee yeye kuweka hata kidolee, na mie naweka hapa.
πππππ
Swadaktaaaaaa!!! ππππTupo pamoja shemeji π
Nimeenda room na kandambili naona anashinda tu mpaka nikataka kumtoa πTreasure link inakutoshaππ
Ko tusepe ehh?ππππππ aaah wapiiii!!