Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndyoo atumee hapaa, ili niamini, km sio uno pipo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sawa, Selikavu niweke na ile ya mashaalah?πŸ˜‚πŸ˜‚
Screenshot_20250829-005938_1.jpg
 
Wee naee SK kupendwaa, bas unaanza kuringa na kujiona, mie ndo ntaanza kukuchamba,
Mxxxxiiiiieeeew, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana mama...


Mambo mengi kdg nilikuwa offline

Leo saidia fundi kwangu kulikuwa na zege nimelud hoiπŸ˜ƒ
 
Back
Top Bottom