Usiwaze atii, nilipo sema elimu ya modo nilimanisha watu humu wanadai ni ushoga, kazi ya kishoga kisa mashoga wengi ni modo. Nika hoji polis wa Zanzibar na yule mwalimu alie kuwa analiwa na mwanafunzi wake, mna maanisha nasi tuhitimishe kua hizo kazi ni za mashoga?
Kama hamtaki tuwe na modo ea kiume mnamanisha nguo za wanaume zitangazwe na wanawake sio?
Kuhusu kuachia kazi Kuna utaratibu tatoa hivo tuwe na subira.