Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,026
- 41,435
Noma sanaaaaaa brother π π hapa nawai sehemu napiga konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaa nawai home kujipikia kwa Sasa nipo nyumbani peke angu kaka.Hahahaha hata lab coat, umegoma kutoa ni mwendo wa bia tuπΊπΊ
Nimepitwaa inauma sanaaHii naijuaπ₯²
Kaka Kuna haja ya kuwa jasusi haaahaa π π πHii naijuaπ₯²
Mimi nimepitwa nimekausha π€£ kwahiyo ni jino kwa jino MkuuNimepitwaa inauma sanaa
Maskini nimepitwaa inauma sana sana ππmin -me nimepita tena useme hujaona
Ngoja niweke kambi hapa niwe kama wale m23 na al quida, al shabab nahaidii siptiiwiiii tenaaaaa πππππMimi nimepitwa nimekausha π€£ kwahiyo ni jino kwa jino Mkuu
Hujambo mamyNaam Ely.
Karibu tule.
Upo na Rostam Aziz nakuona
Mtu wa kwanza kwenye familia kukutana na Rostamππ.Sio yeye.Upo na Rostam Aziz nakuona
Mkuu mbona umevaa suruali ya mtoto? Huoni za wenzio zimewatosha!
Bana matumizi hiyo .Mkuu mbona umevaa suruali ya mtoto? Huoni za wenzio zimewatosha!
Mpe Hi .. unakula keki ya taifa pole pole is watching you π πMtu wa kwanza kwenye familia kukutana na Rostamππ.Sio yeye.
Usiwaze atii, nilipo sema elimu ya modo nilimanisha watu humu wanadai ni ushoga, kazi ya kishoga kisa mashoga wengi ni modo. Nika hoji polis wa Zanzibar na yule mwalimu alie kuwa analiwa na mwanafunzi wake, mna maanisha nasi tuhitimishe kua hizo kazi ni za mashoga?πΉπΉπΉ Elimu ya mamodo au sio?
Haya tupia hiyo midhambi ya fashoonii tuone π
Usiache nishtuamin -me Dr am 4 real PhD nitapita badae
Kwa kweli amerudii lekcharaa wangu.Hatimaye Lekchara wako amerudi selfika
Bado sijarudi ila have fun mkuu!