Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,900
Bora nisingelala, nimeota lindoto la hovyo halafu halitoki kichwani.Umeshalala?
Bora nisingelala, nimeota lindoto la hovyo halafu halitoki kichwani.Umeshalala?
Ndoto gani?Bora nisingelala, nimeota lindoto la hovyo halafu halitoki kichwani.
Uliweka tena hukuziba sura, nikasema si …. Huyu?!! 😹😹Mbona za mwaka jana hata sikua naweka sura kihivyo?
Yaishe mwenzio ninakoelekea nitaharibu hapa..!! 😹😹😹Sasa mimi nikamtolea wap?😆
Insta hata sijawahi ipakua , labda ulitufananisha ,ebu itoe insta upost hapaUliweka tena hukuziba sura, nikasema si …. Huyu?!! 😹😹
Nilivyoingia insta nikaikuta na ile pic uliyopost nikamtega na vi maswali vyangu nikajua hata hajui km yupo JF 🤣
Nakimbizwa kimbizwa na majitu yasiyoeleweka 😂Ndoto gani?
Hayajaisha , inawezekana nakujua lamo 😆Yaishe mwenzio ninakoelekea nitaharibu hapa..!! 😹😹😹
Siwezi nitakua namvunjia heshima mwanangu sana E 😹😹😹Insta hata sijawahi ipakua , labda ulitufananisha ,ebu itoe insta upost hapa
Hahaha pole sana, ulikula magimbi ndio ukalala?Nakimbizwa kimbizwa na majitu yasiyoeleweka 😂
Ngoja kwanza E ni herufi ya kwanza ya jina langu la nyumbani ujue🤣Siwezi nitakua namvunjia heshima mwanangu sana E 😹😹😹
😹😹😹 Sio wewe ungeshanijua mapema sana humu..!!Ngoja kwanza E ni herufi ya kwanza ya jina langu la nyumbani ujue🤣
Lamooo🙄🙄
Niko kwenye diet magimbi ya wapi sasa, nimekunywa kamchemsho kangu na nikasubiri masaa 3 kabla sijaenda kulala 😂Hahaha pole sana, ulikula magimbi ndio ukalala?
Kariakoo mitaa ya pharmacy unajuana na mtu yeyote? Kipindi cha nyuma?kwenye 2013 2014😹😹😹 Sio wewe ungeshanijua mapema sana humu..!!
😁 unakanywa na kulala tena?Niko kwenye diet magimbi ya wapi sasa, nimekunywa kamchemsho kangu na nikasubiri masaa 3 kabla sijaenda kulala 😂
Sio wewe usiumize kichwa huyo mtu nimekwambia tulikutana MU okay? 😹Kariakoo mitaa ya pharmacy unajuana na mtu yeyote? Kipindi cha nyuma?kwenye 2013 2014
Hahahaha kumbe😆 ila picha zangu zote ni mimi ujinga wa kupost picha za mwanaume mwingine na mimi ni mwanaume siwezi fanya kamweSio wewe usiumize kichwa huyo mtu nimekwambia tulikutana MU okay? 😹
Huyu ni wewe?
MchumbaCheers🍻