Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona za mwaka jana hata sikua naweka sura kihivyo?
Uliweka tena hukuziba sura, nikasema si …. Huyu?!! 😹😹
Nilivyoingia insta nikaikuta na ile pic uliyopost nikamtega na vi maswali vyangu nikajua hata hajui km yupo JF 🤣
 
Uliweka tena hukuziba sura, nikasema si …. Huyu?!! 😹😹
Nilivyoingia insta nikaikuta na ile pic uliyopost nikamtega na vi maswali vyangu nikajua hata hajui km yupo JF 🤣
Insta hata sijawahi ipakua , labda ulitufananisha ,ebu itoe insta upost hapa
 
Sio wewe usiumize kichwa huyo mtu nimekwambia tulikutana MU okay? 😹
Hahahaha kumbe😆 ila picha zangu zote ni mimi ujinga wa kupost picha za mwanaume mwingine na mimi ni mwanaume siwezi fanya kamwe
 
naked 😎
Screenshot_20250821-095215.png
 
Back
Top Bottom