win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,695
- 7,925
futa tuanze mpya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kqinga nitafute wewe 😅
futa tuanze mpya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kqinga nitafute wewe 😅
Mimi now jimbo lipo wazi , mimi ni bata boy , napenda sana starehe hasa weekend, na weekend yangu ina anza Al hamis , kitu pekee sipendi ni kuombwa pesa mwanzoni mwa penzi aseee, nimetoka mbali sana , ila mimi ni baba wa binti yangu kamama na kijana wangu , napenda mapenzi na kufurahi na nikilewa si pendi judgement 🤣🤣🤣🤣😹😹😹 Mbona utakufa mapema..!!
Mimi pasua kichwa natakiwa nipate mume jeuri na mkali km pilipili 🤣
Unashusha CV 😹😹Mimi now jimbo lipo wazi , mimi ni bata boy , napenda sana starehe hasa weekend, na weekend yangu ina anza Al hamis , kitu pekee sipendi ni kuombwa pesa mwanzoni mwa penzi aseee, nimetoka mbali sana , ila mimi ni baba wa binti yangu kamama na kijana wangu , napenda mapenzi na kufurahi na nikilewa si pendi judgement 🤣🤣🤣🤣
Na wengi wanashishwa kunipata , na hiyo ndio karata yangu ya kupata mtu sahihi 😅Unashusha CV 😹😹
Basi Mangi inatosha, kwa ninavyowajua wajumbe wa jimboni kwangu hawawezi kukupitisha..!! 🤣
shida unabugia balimi😹😹😹
Ushindwe nilivyo busy na gym na diet ubonge hapana..!!
We kwenda zako mi sinywi pombe za wasukuma 😹😹shida unabugia balimi
kitambi cha bia lazima
Sijaona, nitag.Zipo nyingi hauona shindiii wangu😅
Acha maelezo, mimi nataka kichwa shindii🤣🤣🤣🤣Nimefuta nyingi shindii hii sikutaka kupost coz hiyo gari ni ya rafiki yangu🤣 hiyo gari ni ya pesa mingi kujipendekeza nao tu ni aibu ya mwaka shindii 🤣
View attachment 3442408
Kichwa cha mdudu gani shindii 🤣🤣🤣🤣😍Acha maelezo, mimi nataka kichwa shindii🤣🤣🤣🤣
Nakupenda coz unajua vitu vizuri kipenzi😇Nzuri
Kwanini picha za miguu?Kichwa cha mdudu gani shindii 🤣🤣🤣🤣😍
Shindiii kaa kijanja wewe umetuma wapi hata hiyo miguuu🤣Kwanini picha za miguu?
Sio miguu tu, mwili mzima hadi sura, humuhumuShindiii kaa kijanja wewe umetuma wapi hata hiyo miguuu🤣
Shindiii , kaone😅Sio miguu tu, mwili mzima hadi sura, humuhumu
Kweli, enzi hizo huu uzi ndio kijiwe chetu.Shindiii , kaone😅
Shindiii unajua nakupenda sana rafiki yangu , now nimenasa kwenye starehe za kijinga *** off🥲Kweli, enzi hizo huu uzi ndio kijiwe chetu.