CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Kuna watu wako macho humu?
Ndiyo!Kuna watu wako macho humu?
OyaaaKuna watu wako macho humu?
Naaam😎 huu ndiyo muda wa kupita naked
Nimemzoom vizuri huyo presenter si haba.....
Shida ya hawa Wazungu, hawana nyama nyama tuzipendazo Wazee 😜Nimemzoom vizuri huyo presenter si haba.....
Hopefully kuna kuku hapo anataka kunyonyolewa... 😂View attachment 3440926
Pamoja na uwepo wa Kisukari pamoja na PB vinavyotumaliza Wazee hata upande huu wa pili still unatuharakisha especially kama utakosa huduma sahihi katika Uzee wako
Nafikiri Vijana, mpunguze kujiamini kwamba lubricants zitazuia maambukizi mapya
Chezeni salama 😎
Hahaha.................kwamba sharti la tucheki afya kabla mzigo haujaliwa sio 😅Hopefully kuna kuku hapo anataka kunyonyolewa...
Ngoja nimuulize Mshana Jr , Ukiona manyoya...?
Babu pita na yale mapensi yako na sendo.Ndiyo!
Kuna nini?
Unataka kupita "nekedi" ama? 😂😂😂
Niwai zaganati jana nilijichanganyaView attachment 3440926
Pamoja na uwepo wa Kisukari pamoja na PB vinavyotumaliza Wazee hata upande huu wa pili still unatuharakisha especially kama utakosa huduma sahihi katika Uzee wako
Nafikiri Vijana, mpunguze kujiamini kwamba lubricants zitazuia maambukizi mapya
Chezeni salama 😎
Mapensi yangu na sendo? Miaka 78 halafu pensi na sendo wapi na wapi?Babu pita na yale mapensi yako na sendo.
chicken stew gani hii?
Nenda wakupe PEP, otherwise labda iwe bahati yako 😅Niwai zaganati jana nilijichanganya
weka picha sasa au smatifoni hujui kutumia babu?Mapensi yangu na sendo? Miaka 78 halafu pensi na sendo wapi na wapi?
Ni mwendo wa kanzu na barghashia tu japo sina hata harufu ya ukobazi 😂😂😂
Huo muda nilikuwa naota ndotoTupiamo basi😋
Hiyo ndiyo mikato muhimu Kwa WazeeMapensi yangu na sendo? Miaka 78 halafu pensi na sendo wapi na wapi?
Ni mwendo wa kanzu na barghashia tu japo sina hata harufu ya ukobazi 😂😂😂
Maandalizi ya weekend yameanza mapema sanaView attachment 3440926