T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
Duh!!kumbe una kumbukumbu na mimi na hilo tukio la ajariπππππ jamani huyo msukuma aniachee, aliniona wapiii?
Alikuja Dar mara 2, had akapataga na ajari, na hakuwahi kuniona.
Asemee tulipokutanaa, πππππ
MUNGU ni mwema nilipona majeraha rafiki yangu
Siyo kukuona tu,mimi nakujua wewe nje ndaniπ