cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Hujalalaaa? 😂😂😂Nipo udugu fanya jambo 😻
Hujalalaaa? 😂😂😂Nipo udugu fanya jambo 😻
😂😂😂😂😂 wee tenaa, kule kwenu usukumani bila ng'ombe 50 hamnichukui kamwee.coca ana uzungu gani sema kajaliwa tako😅
SawaTutarudi siku nyingine kukiwa kumepoa 😅
Si useme shati tu inatosha mpaka useme shati la maua maua😅Hata kichwa sikitaki 😎
Nimekuona lakini na shati lako maua maua 🤣🤣 kakijana kasafi!
😂🤣🤣 Shida unapoteaMaka amejua unaenda home kwake, kapata jeuri, ukimkamata bichwa ulibane haswa mahi wangu.
Mie acha nibaki na mshkaji wangu min -me nikimwambia ashushe kitu 📸 anashusha, hana longolongo za kujificha ficha kama maiti!
Haya nipo 🤣 na nyomi limepungua 🤣😂🤣🤣 Shida unapotea
Ng'ombe hamsini(50)?😂😂😂😂😂 wee tenaa, kule kwenu usukumani bila ng'ombe 50 hamnichukui kamwee.
😂😂😂😂😂Coca, tupe kitu basi mdhunguuu
Mkojo upi?😂😂😂😂 anaotaa huyo, muamsheni kabla hajakojoa kitandani, lol
Na hapo hata sijasema la njano 🤣🤣🤣Si useme shati tu inatosha mpaka useme shati la maua maua😅
Utajua wewee, 😂😂😂😂Mkojo upi?
Sijapiga picha mwaka wa ngapi sijui huu... Mie na camera 🤳 hatuna uswahiba kwa kweli.
Mmeanza ufukunyukuuu wajaaaa, mtafanya modes waje watufurushee hapa..Shombeshombe huyo, babu yake alikua mreno pure, ukimuona rangi ya mtume, nywele singa singa, tako ndiyo usiseme, dogo yuko njema 😍
Khaaah 😂😂😂😂😂Sijapiga picha mwaka wa ngapi sijui huu... Mie na camera 🤳 hatuna uswahiba kwa kweli.
Hapa nilikuwa namaliza kiporo na binti wa zamani, nilale kwa amani nisine ota nimekabwa mtu anadai picha
Mabwakuuuuu!!! Nafwaaaa!!Nilishawahi kumuona vuzi to vuzi hana ushombeshombe wowote sema tu ana ka mwili fulani hivi ka kutombeka bhaaaasi😅
Mie sina deni na wewe, nalala unono kabisa.Sijapiga picha mwaka wa ngapi sijui huu... Mie na camera 🤳 hatuna uswahiba kwa kweli.
Hapa nilikuwa namaliza kiporo na binti wa zamani, nilale kwa amani nisine ota nimekabwa mtu anadai picha