Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20191207_193604.jpeg
 
Hahahaaa sasa namba si ilikuwa ngeni,, we ngoja nikuzoee uone.. huwa naongea faster sana hasa nikiwa nasimulia jambo

Lol nakupa hint,, ukitaka kujua namna mtu anavyoongea angalia matumizi ya alama kwenye uandishi wake.. thank me later
Mhh! Eti unaongea haraka haraka...mbona ile juzi ulikuwa unaongea kwa pozi?
 
Hahahaaa sasa namba si ilikuwa ngeni,, we ngoja nikuzoee uone.. huwa naongea faster sana hasa nikiwa nasimulia jambo

Lol nakupa hint,, ukitaka kujua namna mtu anavyoongea angalia matumizi ya alama kwenye uandishi wake.. thank me later
Namba ngeni ndio unaziletea pozi?

Hiyo hint naomba uifanyie mfano kwangu..eeh me naongeaje?
 
Yeah kwa mtu mgeni huwa naongea kwa staha ila walionizoea wanajua ninavyoongea

Wewe katika uandishi wako kwenye matumizi ya alama uko vizuri na hata ile juzi ulikuwa unaongea kwa kuremba yaani mimi nikiongea taratibu naona kama nachelewa kumaliza

😂😂 we dogo nani anaongea kwa kuremba? Yan pale ujue nilikukazia sauti?
Afu sipati picha huko kuongea haraka haraka plus Yale macho yako mlegezo kama nakuonaa vile huwa unarembua 😍
 
Back
Top Bottom