Mmmhmimi niliwahi pigisha collabo Saint Anna, Dompo, K Vant na Konyagi..

Hahahaha halafu anatuita sisi dogo kumbe hata sauti inasadifuNashangaa eti sifa zake ndiyo ananipa mimi,, macho mlegezo na sauti nyororo..
We mwanamke twende lindoni tupatoke hapaMmmh![]()
Leo umeshindia wine ehh umechangamkasure
sure
Tupo pamoja nishashika fyekeo langu kwaajili ya kaziWe mwanamke twende lindoni tupatoke hapa
GoodTupo pamoja nishashika fyekeo langu kwaajili ya kazi
Hahahaha halafu anatuita sisi dogo kumbe hata sauti inasadifu
Leo umeshindia wine ehh umechangamka



duuh ukafanyaje??
Nilijitia mnywaji hasira za mapenzi nikanywa chupa zile ndogo za K vant nne ya tano ikafika nusu hakika cha moto nilikiona
Nililewa nikahisi kama roho inatoka, nahisi joto ya ajabu nikaanza kulia nawalilia watu ambao walishafariki mwisho sikujielewa nilizima,duuh ukafanyaje??
Nililewa nikahisi kama roho inatoka, nahisi joto ya ajabu nikaanza kulia nawalilia watu ambao walishafariki mwisho sikujielewa nilizima,
uzuri nilinywea nyumbani alafu ilikuwa mara yangu ya kwanza sikuwahi kunywa pombe kali.
Wekeni basi hata picha mkiwa ndotoni, tulio macho tuone
Idadi ya Maneno unayoongea kwa saa 1,Ni ya kwangu ya siku nzimamie kucheza huwa nacheza hata nikiwa sober maana napenda sana kucheza ila tatizo mdomo mdomo mdomo mdomo na ninavyoongea haraka sasa mwee
![]()

