Mhm mimi au?Huyo anasomea architecture MUST πΉπΉ
Wewe usimsikilize lamomy, tayari kaishavuta MARIJUANAMaweeeeeeeeeeh πββοΈ, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu π
makaveli10 , makaveli10 , makaveli10 - nimekuita mara tatu, hebu niwekee hicho kitu πΈ roho ifurahi πππ
Hebu nikuone na wewe...nikija daslam naomba niwe nakusaidia kuchana huo uchebe π€π
Sasa lile ombi langu vipi!?Imeisha maka wangu ππ
Unakuwa muhanshamu halafu husemi mfyuuu..!! πΉπΉπΉ
Nitaje mzigo kivipi tena min wakati nyie mnapewa bure?? πΉπΉπ€£Taja mzigo ,mimi nakupa hata nguo zangu bure tu
Acha story, tupia hicho kitu buana πΈWewe usimsikilize lamomy, tayari kaishavuta MARIJUANA
π€£π
Nipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisaNitaje mzigo kivipi tena min wakati nyie mnapewa bure?? πΉπΉπ€£
Mangi umeanza tamaa πΉ
Wewe tena CHAKA LIMEMPATA MNYAJI..Maka πππ»
Binti wa zamani we mshangazi unapitwa huku, hivi Maka umemuona?
Yani vile vitu vyenye tunavipenda wadada Maka anavyo sasa full package ohhh π»π»
Limaka lizuri nyie ππ
Halafu lina rangi nzuri sio white sio black yani rangi imeni turn on..!! π₯°
Tuyajenge mimi na wewe..unanimaliza bwanaaa Lamomy nikiishi hapa si fresh tu dada au unasemaje
We mshangazi, usimsikilize lamomy, shauri yakoAcha story, tupia hicho kitu buana πΈ
Naanzaje kwanza mchizi wangu?Lamomy mchizi wangu, hawezi kunikandia..
Jua hilo kwanza
π€£π
MhmmmUnajitungia maneno, hajasema ananipenda.
π π π Thanks babe, love you too...hapa siwezi ishi bila wew akiiiπ
Ngoja niweke ngoma ya mchizi wamgu remix, nikukumbuke vemaNaanzaje kwanza mchizi wangu?
Group O sisi watu wa vibe tu..!!
Mshamba bana, wewe si upo mambele min..!!Mhm mimi au?
Umepotea sana mkuuIshi maisha yako, fanya kile Roho yako inapenda. Swaga hazina umri bhana wewe huwaoni hata Jigga na Ye?
Kwani nikiwa mbele siruhusiwi kuchati na watanzania?.Mshamba bana, wewe si upo mambele min..!!
Sasa Lamomy akubembeleze, na mimi tena π wewe sema tu kama unaninyima ππWe mshangazi, usimsikilize lamomy, shauri yako