Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

bonge la dada anatakiwa awe amefungasha nyuma, sasa mimi ni afu lela ulela🤣🤣🤣🤣
Nyie ambao hamjitangazi kama mmefungasha mnakuwaga na balaa sio poa...
Hebu tupia kwanza moja tuhakiki kwenye V.A.R..
 
Hakuna sifa za uongo nikikusifia mimi, nina marafiki zangu ephen_ na Lamomy hawa wakiungana namwaga pesa jf kama sina akili nzuri , natamani sana hawa watu wawe fear tu
Wewe mimi sina ugomvi na mtu, ushaanza kulewa Ita bodaboda ya mama Samia ikurudishe home..!! 😹😹😹
 
Mimi nitamfanyia usafi chumbani nishawahi 😹😹😹
Wewe ukifanya sitting room sio mbaya 🤣

Coca ataosha vyombo jikoni..!! 😹
Sitting room pambe tu, nikichoka makochi na mazulia yanafaa kupumzikia 😂
Ila mbona kama tutakua wengi, au tupangiane zamu tu 😂
 
Back
Top Bottom