win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,806
- 29,862
hapa umenena kabisa dada ebu weken mambo sawa ili aanze kututumia mzigo mapema🤣🤣🤣🤣Twende tukakusanye mitumba tufungue goli karume mdogo wangu 😹😹
Mwenyeji tushampata min
hapa umenena kabisa dada ebu weken mambo sawa ili aanze kututumia mzigo mapema🤣🤣🤣🤣Twende tukakusanye mitumba tufungue goli karume mdogo wangu 😹😹
Mwenyeji tushampata min
Sema bana, kwanza nishaona fursa huko nitumie invitation basi nije..!!Nikisema mambo yangu kesho nitaomba msamaha kwamba nimelewa acha niache tu🤣
Aisee ngoja niselfike nikuonyeshe mfano...
Ibu kama ibu Kaone 😅😅😅😅 ujue tu mimi sio mchaga fala🤣🤣🤣🤣🤣hapa umenena kabisa dada ebu weken mambo sawa ili aanze kututumia mzigo mapema🤣🤣🤣🤣
na kweli siku hizi gen z wamehamia kwenye mabwangaHahahaa binafsi napenda kuvaa vizuri ila napenda mwongozo wa gen z kijana wangu😅😅😅
Aisee ngoja niselfike nikuonyeshe mfano...
fanya hivyo🤗🤗Aisee ngoja niselfike nikuonyeshe mfano...
Niselfike unione?
Ndugu watazamaji tunasubiri kwa hamu 😂Aisee ngoja niselfike nikuonyeshe mfano...
Niselfike unione?
Ila coca mjeuri hawezi kukubali yule 😹😹Haya umeshinda, katuwakilishe ulete mrejesho wa vurumai la usafi na deki zilizopigwa humo ndani 😂.
Ukichoka wa kukusaidia kazi tuko hapa standby 😂😂😂
fanya hivyo🤗🤗
Wakinga nawajua na tupo nao humu , na kariakoo nilikua nao , 😁😁😁😁😁😁Sema bana, kwanza nishaona fursa huko nitumie invitation basi nije..!!
We nikusanyie mitumba mi mkinga nije kuifata niuze bongo huku..!! 😹😹😹
Ujue wakinga kwa kuchungulia fursa tuko vizuri min 😀
hahahahahaha nimecheka nusu kupaliwa ebu tokaaaaa
Tutaweka na branch mikoani, ngoja Mangi afanye mchakato..!! 😹😹hapa umenena kabisa dada ebu weken mambo sawa ili aanze kututumia mzigo mapema🤣🤣🤣🤣
Unaniringishia kupanda private jet, hata mie nilishapanda..hahahahahaha nimecheka nusu kupaliwa ebu tokaaaaa
sema mangi wako anaringa 🤣 sidhani kama atafikisha mzigo wetu salamaTutaweka na branch mikoani, ngoja Mangi afanye mchakato..!! 😹😹
basi selfka ukiwa haupo kweny jet naweza kuangukia baba wa wanangu ujue 🤗🤗Unaniringishia kupanda private jet, hata mie nilishapanda..