Daah 😄😄,. Eti maziwa Lita 100Hongereni sana
Sisi tuliozaliwa zamani wakati ambapo Lita 1 ya maziwa fresh ilikuwa ikiuzwa 100 ndiyo tulibahatika kuwa na hiyo miili 🤗
Huyo kuwa na hiyo afya mmejitahidi sana
UsiwazeUnishtue sasa maka 🥲
Nikajua ushatupia maka 😥Usiwaze
😂😂😂😂😂Hebu nielezee kidogo udugu, huyu kiumbe natamani nimuone mana ananichekesha sana na mambo yake..!! 😹😹
😂😂😂😂😂 uduguu umerogwaa? Huyo jamaa limbwata kalifuma wapii? LolAlafu darling nikupe sirii 😊
Mikwako chalii moyo na mwili 🥰
Kama mie gari we ndio tairi 🛞
Usije ukaenda mbali utanihadhirii 😔
Amina amina na iwe kheri amina 🙏
Lita 1 ya maziwa shilingi 100Daah 😄😄,. Eti maziwa Lita 100
Boss la kigamboni
Hujascreen shot udugu unionyeshe jamani 😹😹😹😂😂😂😂😂
Na anaonekana hata kwa picha, ni ana mambo mengi haswaa.
😹😹😹😹😂😂😂😂😂 uduguu umerogwaa? Huyo jamaa limbwata kalifuma wapii? Lol
Duh kuna watoto wazuri
Haya mambo ndio yamefanya nifanye mchakato kuo raia wa kigenii 😁Duh kuna watoto wazuri
Dah, we ni wa kunisagia kunguniimi.😂😂😂😂😂
Na anaonekana hata kwa picha, ni ana mambo mengi haswaa.
Subiri niweke viziba uso, kumbe huku mnaweka viziba usooo,Nikajua ushatupia maka 😥
Weka ss hivi hawapo bana 😹
Baki na huo mpicha wako mana unajikuta km nini.. ☹️Subiri niweke viziba uso, kumbe huku mnaweka viziba usooo,
🤣😂😂😂Baki na huo mpicha wako mana unajikuta km nini.. ☹️
Sitaki na team lenyewe nahama..!! 😏Mie nawe hatuishi hivyo lamomy
Njoo uchukue jezi ya arsenal