Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,350
- 23,238
Hapana I'd ni hii hii maybe tumefanana tuuHapa hapa JF kwa I'd inginee
Hapana I'd ni hii hii maybe tumefanana tuuHapa hapa JF kwa I'd inginee
Upo vizuri sana 😊
Si umesema umemuacha wife home mama kija🤣🤣🤣Mimi Remy ongala natafuta mke 😂
Basi itakuaa, thou nilihisi ni yeye bhana.Hapana I'd ni hii hii maybe tumefanana tuu
Ndo unayehitajika ,😂
Jamaniiii 😂😂😂😂Si umesema umemuacha wife home mama kija🤣🤣🤣
Aaaaaah itakuwa aseehBasi itakuaa, thou nilihisi ni yeye bhana.
Maana kapotea pia humu.
Wewe picha handsome man kabisaa 😁😁Mimi Remy ongala natafuta mke 😂
Sawaa.Aaaaaah itakuwa aseeh
Sina uhensamu 😂 kakqWewe picha handsome man kabisaa 😁😁
Wap na wap na u remmy ongala
Picha zinafutwa kwa speed ya light 🕯️Ndo unayehitajika ,😂
Haaahaa upo vizuri wewe hufanani hata na CHOCHOTE CHA remmy ongalaSina uhensamu 😂 kakq
Una date na Mangi? Mnawezajee? 😂😂😂😂🤣🤣🤣 Mangi mwenzako atakupiga akuvunje
🤣🤣🤣🤣 siyo ninenepe niwe tukunyema jamani
Na bahati mbaya picha 😴 😴 napishana nazoooo
Kwa kweli tunenepe, nyama muhimu ujue.🤣🤣🤣🤣 siyo ninenepe niwe tukunyema jamani
Yupi huyo 😂🤣🤣🤣 Mangi mwenzako atakupiga akuvunje
😂😂😂😂😂 poleeee, hapa hapa na unapitwwaa??Na bahati mbaya picha 😴 😴 napishana nazoooo
😂😂😂😂 wee amini nimemzidi kiduchuu tyuuh.Embu tuone kama kweli umemzidi 👀, halafu sisi tutakupa majibu 😁😁🙌🏻