Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,791
Ume imagen umeshikwa nao sio 😂😂Mkono wa kidume kabisa huu☺️💪
Ume imagen umeshikwa nao sio 😂😂Mkono wa kidume kabisa huu☺️💪
Uje tujiuze 😹😹Mnatoaga wapi pesa mm mbona sina
Hizi pombe we acha kabisa😂😂🥹Ume imagen umeshikwa nao sio 😂😂
Lamomy, vile vidole vyetu vya kupimia oil 🤭😅
Muulize mbio anazo😃😂Uje tujiuze 😹😹
We jiuze mimi nakutafutia wateja wenyewe wana miliki v8Uje tujiuze 😹😹
Niache mwenzio nna masikitiko nimebakiwa na liten jero..!! 😹😹Hela lazima zitumike😹
Kula maisha jiraniii,. Tomorrow has never promised ✌️✌️
Kumbe mjinga ivyoooLamomy, vile vidole vyetu vya kupimia oil 🤭😅
Nawaambia kila siku pombe msinywe hamsikiiHizi pombe we acha kabisa😂😂🥹
Hapana tusaidiane kujisell 😹😹We jiuze mimi nakutafutia wateja wenyewe wana miliki v8
Au nikupe namba ya alikiba aka kukope 😂😂Hapana tusaidiane kujisell 😹😹
Badae utapata nyingine,.Niache mwenzio nna masikitiko nimebakiwa na liten jero..!! 😹😹
Mikopo sitaki 😹Au nikupe namba ya alikiba aka kukope 😂😂
Naachaaa😃🧐Nawaambia kila siku pombe msinywe hamsikii
Virefu, safi na kucha kakata, mambo lele leleeee 😂😹😹😹 Ewaaah
Bora wewe una lovely one mi najidate mwenyewe mwenzio 😥😹😹Badae utapata nyingine,.
Mie Niko nabembeleza huruma za kijana wangu hapa nipate chochote kitu cha kuanzia asubuhi hii View attachment 3437306
Kidogo tu, siyo sana 🙈😅Kumbe mjinga ivyooo
Muamshe bichwa akupe kimoja jana hajakukata kiu vizuri 😹😹😹Virefu, safi na kucha kakata, mambo lele leleeee 😂
Sitaki kuteseka Mimi,. Sitakiiii nakataa kwajina la Yesu..Bora wewe una lovely one mi najidate mwenyewe mwenzio 😥😹😹