Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,937
Tumekubaliana ss hivi hakuna kula home wote tushakua tupambane maghetoni kwetu..!! 😹😹Na chapati na viazi vya mama Leejay😂😂
Tumekubaliana ss hivi hakuna kula home wote tushakua tupambane maghetoni kwetu..!! 😹😹Na chapati na viazi vya mama Leejay😂😂
Hizo kadi ukiingia nazo ATM 🏧 unadhalilika 😹😹😹Hapo ni kwenda kuzitoa ATM tu jirani, mi mwenzio nimechalala sielewi ujue..!! 😹
Me nimeshajitolea kuwa foster wao,. Nitawalea hadi wakizeekaTumekubaliana ss hivi hakuna kula home wote tushakua tupambane maghetoni kwetu..!! 😹😹
Sema umekabana sanaa,. Achia miguu hiyo unatunyia kuona nini??
We kajinga sana jicho lako limeenda wapi? 😂Sema umekabana sanaa,. Achia miguu hiyo unatunyia kuona nini??
Me jicho langu linaendaga tu sehemu husika basi😂😂We kajinga sana jicho lako limeenda wapi? 😂
Jana pochi yangu ilikua vizuri tu kabla sijatafuta sifa za kijinga kwenye live band 😹😹Hizo kadi ukiingia nazo ATM 🏧 unadhalilika 😹😹😹
Kwenye hizo zooote ukijumlisha haifiki hata laki
Mbona umewabana wajukuu sasa Mwachi 😹😹
Af una angalia kama una kengeza kumbe hunaMe jicho langu linaendaga tu sehemu husika basi😂😂
Kwanza hujawatuma wakuzae 😹😹Me nimeshajitolea kuwa foster wao,. Nitawalea hadi wakizeeka
Sihami labda wanifukuze 😂
Mnatoaga wapi pesa mm mbona sinaJana pochi yangu ilikua vizuri tu kabla sijatafuta sifa za kijinga kwenye live band 😹😹
Wanasumbua hawatulii 😂Mbona umewabana wajukuu sasa Mwachi 😹😹
Hela lazima zitumike😹Jana pochi yangu ilikua vizuri tu kabla sijatafuta sifa za kijinga kwenye live band 😹😹
Haha😂😂Af una angalia kama una kengeza kumbe huna
Cheka tuHaha😂😂
Ndio hapo sasa😂. Hawakuniuliza kama nataka kuja duniani au laah wao wakanileta tu me nifanyaje sasaKwanza hujawatuma wakuzae 😹😹
Hahahahaha 😂😂. Nicheke ninenepe mieCheka tu
Mkono wa kidume kabisa huu☺️💪