Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,938
- 36,290
Na vimayai na chai ya maziwa 😍Vizuri hivyo viazi au?😂😂😂
Pale ambapo ulijifungia ndani kulewa halafu unaamka hamna hata supu dadek😂,.
Nikapange tu sasa....
Pole, ongea vizuri na kaka Mwachi hapo ukajipatie supu nyumbani kwake, hakosagi nyama nyama huyo!