Unapotea sana; mi na Mzee wa hall v ukituacha huku tutakupatia wapi aise lakiniNimefanyaje et
Nipo full dear, umepotelea wapiiii?Kigi Makasi my kaka
Nipo wewe ndio umepotea kaka angu.Nipo full dear, umepotelea wapiiii?
Kwa nin wamesema hauruhusiwi ccy?Yaniii ingekuwa afadhali sis hapa nilitaka kunyoa zangu wakasema saii hairuhusiwi labda mpaka badae! Zishanichosha mpaka. Kiuno cha kukaa kusuka sasa!!
Hebu tupia kdgKwa nin wamesema hauruhusiwi ccy?
Kwahali hii eti mpaka after kushusha ndo inaruhusiwa!Kwa nin wamesema hauruhusiwi ccy?
😁Hebu tupia kdg
Eeeh ccy kanyoe kama umechoka hata usifuatilie hayo wamekwambiaKwahali hii eti mpaka after kushusha ndo inaruhusiwa!
Sawa sawa, uko vzr Rafiki
Umeona eeh!! Watu wako na imani imani za ajabu ajabu sana!Eeeh ccy kanyoe kama umechoka hata usifuatilie hayo wamekwambia
Achana nao ccyUmeona eeh!! Watu wako na imani imani za ajabu ajabu sana!
Sawa ukiselfika nitagSawa sawa, uko vzr Rafiki
Usiku WA mananeSawa ukiselfika nitag
Haya sawa hakuna shidaUsiku WA manane
Sawa sawaHaya sawa hakuna shida
Foro ipi? Ya tanga auTbt,,foro💥
View attachment 3435058