Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,947
- 177,163
Kwaniniiiii selfika huwezi jiachia ka kwingine???😁😁😁Ngoja tuone...
Hebu Tupia uchangamshe uzi basiiiii 😁!
Kwaniniiiii selfika huwezi jiachia ka kwingine???😁😁😁Ngoja tuone...
Kwaniniiiii selfika huwezi jiachia ka kwingine???😁😁😁
Hebu Tupia uchangamshe uzi basiiiii 😁!
Weee mwongozo unao love unaoooo ndiomana..!Dah!! Hizi lawama, sababu hayanga muongozo...
Sikuzote Pombe husema kweli ujue!!Hahaha nililewa tu na wewe
Mimi sina miongozo, hua najiongoza mwenyewe...Weee mwongozo unao love unaoooo ndiomana..!
Haya selfika sasa🥴😁
Junia anahitaji mdogo wake boss uchangamke,,,msimu ujao patachimbika ,,,,Ndiyo yupo
Na Junia pia yupo.
Umeona kosi la mauaji Liverpool
Tutawachakaza msimu huu😀
YNWA
Haya,tunaomba uselfike boss
Akili zakoo wee mbili kasorooo ujue 😂😂😁😁😁!
Kweli kabisaaaa
Jana na leo sis!! Fanya jamboo Usiku wangu uwe vyedii
Kaa hapo hapo ccy nakublessJana na leo sis!! Fanya jamboo Usiku wangu uwe vyedii
Sauwaa sis sitoki hapaaaKaa hapo hapo ccy nakubless
Sauwaa sis sitoki hapaaa
Unazidi kunougaa nakuwa mubinti tu sis!! Unapendezaaa🤩🤩🤩🤩
Unazidi kunougaa nakuwa mubinti tu sis!! Unapendezaaa🤩🤩🤩🤩
Waooh!