Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Hivi Yuko jf.Mzee wa hall V ana mtuwe wa Long time kitambo itakuwa kamzuia kuingia jf nadhani anaitwa Cute B mnywani!
Hivi ndo ulidinda kutupia kabisa wee mnywani memiss kukuona mwarabu !
Nisha mtafuta sana bila trace yeyote
Alikua ananifundishaga ung'eng'e
We Mzee sumbai cute umemficha wapi