Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Nilikuona li babu la kwenda kabisa..!!
Lini tena unakuja kigambonino?
Next time nitakupigia honi kwa fujo 😍
Tukutane kesho weekend Nolasco Pub hapo Mji Mwema!

Najua utanijia na Kiko zangu za kutosha Mjukuu
 
Kura hazikutosha Mkuu, Wajumbe wamesema hawako tayari kuongozwa na Mimi Mzee wa miaka 79 eti 😜

Nikawapa mfano wa mwenzetu Mu7, lakini hawakunielewa 🙌

BTW, habari za siku tele Mkuu, naona mmetuachia Wazee peke yetu hili jukwaa 🤗
Salama kabisa chief
Bado sijatoka mwakaleli.
Afande nilegezee kamba
 
Screenshot_20250801-221217.png
 
Back
Top Bottom