Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,413
- 94,791
Dotnata wee 😹😹😆😆😂😂😂😂
Ila Anko T ana maneno
Eti sapampa mchezo
Afu anamalizia nyokolilonyonyoko😆
Nikimuona naona km namuona coca vile na maneno yao..!!
Dotnata wee 😹😹😆😆😂😂😂😂
Ila Anko T ana maneno
Eti sapampa mchezo
Afu anamalizia nyokolilonyonyoko😆
Bibi weeeDotnata wee 😹😹
Nikimuona naona km namuona coca vile na maneno yao..!!
Nkamu mbona hii km unanisema mimi 😹😹Bibi weee
Eti unazaa utadhani unashindana michezo ya umisenta sijui umitashumntA
Anamalizia na cheko lake hooohoy😆🙌🙌🙌🙌
Umeona ile ya wadada wa Dodoma eti wamepauka hawapaki mafuta😂😂😂
Hahahaha kumbe💴💶💵💰💸
Anko T anasema mtu ana uwezo kidogo mzalie kidogo mtoto mmoja tuNkamu mbona hii km unanisema mimi 😹😹
Hivi watu kuzaa wameeka sifa?
Halafu kila mtoto na baba yake na wote choka mbaya..!! 😹
Hii imeenda 😹😹😹Anko T anasema mtu ana uwezo kidogo mzalie kidogo mtoto mmoja tu
Pea 1 ya soksi tabu ila unamzalia kama umechanganyikiwa,
Asubuhi pua hilo limevimba, mchana pua limevimba jioni pia limevimba
We mtotoo😂😂😂😂🙌🏿
Anko T anajua kuchamba jamani
Eti baadaye watoto wanakufunika na mito puani unakufa😂😂😂😂😂
Anko T sio mtuHii imeenda 😹😹😹
Wadada wa Dom wamefanya nini tena? 😹Anko T sio mtu
Domo lake linachamba balaa😂😂😂
Hii ya wadada wa Dodoma nimecheka
Eti hawapaki mafuta usoni, wanasingizia jua kaliWadada wa Dom wamefanya nini tena? 😹