Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20250724_214154_346.jpg
 
Njema sana Wigeee nafurahi kukuona tena selfika!
Aliyekuficha mwambie haendi mbinguni walai sio kwa kupotea hivoo!

Nyakiboo nilihama saivi napatikana Nyamugongo kwa mama Nyugumnya😁!

Fanya jambo memis kuona ule udev
Naanzaje kukataa

Ulivyo Li zuri vile

Ngoja nitoke Kwa mangi

Utaliona Li mzuzu washa
 
Hongera kwa kuteuliwa mkuu
Kura hazikutosha Mkuu, Wajumbe wamesema hawako tayari kuongozwa na Mimi Mzee wa miaka 79 eti 😜

Nikawapa mfano wa mwenzetu Mu7, lakini hawakunielewa 🙌

BTW, habari za siku tele Mkuu, naona mmetuachia Wazee peke yetu hili jukwaa 🤗
 
Back
Top Bottom