Mimi ukianza fujo zako na ignore hili jukwaa🤣🤣🤣🤣Min mbona unamtisha shem wako lakini 😹😹
SureUtalii unaibeba Arusha
Hotel nyingi za maana
Min unaniharibia mume ujue 😹😹Kaka lamo ni kubwa la maadui bila kula bia za kutosha ni kizungu mkuti bwashee
HayaSure
Haya
Naomba picha sasa
Sasa hivi sitaki ugomvi niko busy kumpetipeti chino 😹😹🤣Mimi ukianza fujo zako na ignore hili jukwaa🤣🤣🤣🤣
Yah napenda uwe mtulivu lamo , unajua wewe ni rafiki yangu sana tu😜Sasa hivi sitaki ugomvi niko busy kumpetipeti chino 😹😹🤣
Nimesha anza kulewa vibaya 🤣Haya
Weka na kapicha sasa
Kabla hazijazidi niwekee kapichaNimesha anza kulewa vibaya 🤣
Picha ya ulevi nooooo, labda nyingine kwenye gallery yangu madamKabla hazijazidi niwekee kapicha
Ujue saa nzima ishapita toka nimeanza kuomba picha
Ndege huyu wakoIla chino 😹
Wewe ngoja nikuroge kweli, naona unatamani kuwekwa kwenye chupa..!!
Kipenda roho hula nyama mbichi.Sasa hivi sitaki ugomvi niko busy kumpetipeti chino 😹😹🤣
HayaPicha ya ulevi nooooo, labda nyingine kwenye gallery yangu madam
Hiyo muhimu ujue 🤣🤣Haya
Basi naomba yoyote
Ila usiweke emoj
Itakukaba ukose hewa
Usiweke bwanaHiyo muhimu ujue 🤣🤣
Eee mwayaKipenda roho hula nyama mbichi.
Selfika kdg