Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda wanaume warefu ila Mungu sasa vitu anavyoni pointia simuelewi kabisaa..!!

Vijitu vifupi km vikombe vya kahawa, gubu na ukorofi sasa?? 😹😹😹
Steve Nyerere type

Wanaume warefu wekeni pic zenu..!!
Umeamua kututukana Sisi wafupi wenye vibamia weusi na tuna gubu Sawa

Tutapata wakufanana na Mimi...

Wanaume wafupe hoyeeee😂😂😂
 
Back
Top Bottom