Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!

Kuna siku nilimkaribisha ex wangu home akajua namrudia, nilimwambia ukikaribia kufika nishtue akasema, sawa hamna shida..!!

Alivyokaribia akaniambia nipo kona ya kuingilia kwako nikasema sawa utafungua gate uingie niko kuoga..!!

Hapo kulikua na mbwa mpya nimemnunua sasa nilitaka nione ufanisi wake kwenye kukamata wezi nikamuachia 😹

Anaingia tu askari huyu kakamata miguu aliita mimi kimya…!! 🤣😹😹
Imebidi nipite kwa sauti ya kicheko😆😂😂😂😂
Ila nkamu wewe ni chizi sana🤣🤣🤣🤣
 
Hahahahahaha huyo demu akataka akudangie akaona Lemadam linamihela,
Eenh, sasa ukamtokaje tokaje maana nawajua hao ruba
Bhana we kaliniganda muda wote ananiletea nyash na mi nishawaka pombe kichwani acha nilipige wowowo lake..!!

Nikamnunulia brutal basi akaona nijiweke hapa..!! Nikienda washroom kipo nyuma kinanisindikiza..!!
Na mi basi namtia had vidole..!! 😹
Kumbe wanaume wanafaidi kutushika mbwa hawa..!! 🤣

Nikaja kukitelekeza nje nilivyowasha gari nikasepa..!! Nikakiambia ntakucheck babe girl sawa? 😹
Ile sehemu siendi tena kuna mashetani pale..!
 
Yani wadada wanaokunywa pombe nawaelewa kinouma
 
Imebidi nipite kwa sauti ya kicheko😆😂😂😂😂
Ila nkamu wewe ni chizi sana🤣🤣🤣🤣
Nkamu gwangu 😹😹😹

Yule mkaka alisema hata km hunipendi sio kwa chuki hizi za kuniitia mbwa kusudi..!!
Nikamwambia no bana huyu mbwa mgeni hakufahamu pole..!! Mizuka yote ilimuisha 🤣
 
Nkamu gwangu 😹😹😹

Yule mkaka alisema hata km hunipendi sio kwa chuki hizi za kuniitia mbwa kusudi..!!
Nikamwambia no bana huyu mbwa mgeni hakufahamu pole..!! Mizuka yote ilimuisha 🤣
Wewe ni muuaji Nkamu😁
 
Back
Top Bottom