Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,850
Mikoba nimekuachia wewe, mi niko busy na chino tu 😹Yah napenda uwe mtulivu lamo , unajua wewe ni rafiki yangu sana tu😜
Mikoba nimekuachia wewe, mi niko busy na chino tu 😹Yah napenda uwe mtulivu lamo , unajua wewe ni rafiki yangu sana tu😜
Haya
Naomba picha sasa
Namuona chatu...
Bina ndani ya animal print 😍
Hewani ya wapi picha tu hiyo mama😁😁Bina ndani ya animal print 😍
Kuna wadada wazuri nyie, wenzetu mliumbwa weekend? Chuma kimeenda hewani safi kabisaaa..!!
Hauna mbambaa mdogo wangu wewe una tu bless tu
and 100 others mbona umefuta picha kabla hatujaona?
Umemuona eeeh😊Namuona chatu...
Kabisa kaka anguHauna mbambaa mdogo wangu wewe una tu bless tu
Nimemuona...Umemuona eeeh😊
kwanini mkuu?100 others inatakiwa tizi la maana bwashee
Kijana umejianika kinouma 🤣
Umepptezea ombi langu la picha?Hauna mbambaa mdogo wangu wewe una tu bless tu
Nimeona kama pesa inazidi bwashee 😅kwanini mkuu?