min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,727
- 165,206
Hahahhahaha camera ya simu siiwezi ngoja nijaribu tenaš¤£Achana na hiyo ya juu
Tuma nyingine yenye mambo yetu ya pombe
Hahahhahaha camera ya simu siiwezi ngoja nijaribu tenaš¤£Achana na hiyo ya juu
Tuma nyingine yenye mambo yetu ya pombe
Saint AnneMarahaba Wanaman
Hujambo mdogo wangu?
Chino kafurahi sana kukuonaMarahaba Wanaman
Hujambo mdogo wangu?
Naam MkuuSaint Anne
Nimefurahi pia kukuonaChino kafurahi sana kukuona
NasubiriHahahhahaha camera ya simu siiwezi ngoja nijaribu tenaš¤£
Hapa natoa baraka zangu mkuuSaint Anne
šššAshukuliwe Lamomy baada ya kutumia vifaa vitakatifu. Chino kapatikana. Ayayaya
Nasubiri picha yako ujueKaka lamo ni kubwa la maadui bila kula bia za kutosha ni kizungu mkuti bwashee
Naomba nile pombe kwanza nisije tuma vituko humu madam mzuriš kama kile š¤£Nasubiri picha yako ujue
Hebu tuma tu usijaliNaomba nile pombe kwanza nisije tuma vituko humu madam mzuriš kama kile š¤£
Nakutumia pm tuliaHebu tuma tu usijali
Walevi huwa tunavumiliana
Weka tu hapa kabla mtandao wangu haujapoteaNakutumia pm tulia
Hapa ni Arusha mjini? Pale kwenye round about ya Azimio la Arusha? š³Weka tu hapa kabla mtandao wangu haujapotea
Ni Mbeya mjini
Mbeya na arusha zinafanana kimazingiza sema arusha pamejanjaruka zaidiš¤Ni Mbeya mjini
Uniki fulawa š¹Da Mau ndio Nani
Code ngumu saana.
Any way Mimi nyani mzee siogopi chaka.
Ana mkia wenye mafuta?? Rangi ya mtume??
Utalii unaibeba ArushaMbeya na arusha zinafanana kimazingiza sema arusha pamejanjaruka zaidiš¤