Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Oya Mzee hapa nilipoint sio masihara.
Ni chuma haswaaa.
Oya Mzee hapa nilipoint sio masihara.
Hongera bwana ndugu yangu.Oya Mzee hapa nilipoint sio masihara.
Ni chuma haswaaa.
Huyu ndugu yangu Hana sababu yoyote yakuhangaikaSumbai 😀
Jiandae kupewa midawa ya malimbwataaaSafari ya ukweni ZenjiView attachment 3419436
Ahh wapi, nashkuru walau ninayo ya kutembelea 😀😀😀 na Mshana kesharidhika nayoHongera una guu la champagne
Angel Nylon nasikia huko kwenye visiwa vya marashi ya karafuu eti ukipewa samaki ukweni ukamgeuza wakati unakula hupewi mke.. umempa ndugu yangu mwongozo?Safari ya ukweni ZenjiView attachment 3419436
Malimbwata kwa wasio jiamini....mwanamke akijiamini mwenyewe limbwata toshaJiandae kupewa midawa ya malimbwataaa
Mshana sio mgeni....huo mtihani keshapasi zamani sana 😛Angel Nylon nasikia huko kwenye visiwa vya marashi ya karafuu eti ukipewa samaki ukweni ukamgeuza wakati unakula hupewi mke.. umempa ndugu yangu mwongozo?
Hahaha weeeeMalimbwata kwa wasio jiamini....mwanamke akijiamini mwenyewe limbwata tosha
Midawa gani? Hio midawa mbona mimi sijawahi hata kuiona? Story tu hizoHahaha weeee
Mambo ya kunyeshwa midawa 🙌🙌🙌
😹😹😹Hahaha yananitoka kwako tu! Ila hutayasikia kwengineko.
😀Kesho naenda kawe kukemea na kuchana kesi hizo.
Leo weekend itakua amebanwa na wateja
Tatizo ana tamaa akiona mdada kafungasha tayari anasahau km kuna Lamomy 😹Huyu ndugu yangu Hana sababu yoyote yakuhangaika
Anachotaka vyote kapata rangi yamtume
Nyama nyama na mafuta vipo
Kiuno nyiguuu
Apewe nini huyu??
Ayayaya
Lamomy anampenda chino 😹Ayayaya
Nini kimetokea
Alikua amepotea miezi 6?Lamomy anampenda chino 😹
Sio tamqaaTatizo ana tamaa akiona mdada kafungasha tayari anasahau km kuna Lamomy 😹