Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Punguza ushamba wa kutongoza na kulala na kila mwanamke humu. Wewe ni kokoro? Una miaka 37 lakini unajifanya eti mzee halafu unatongoza hovyo hovyo tu kila mwanamke humu. Unamtia aibu mkeo na watoto hapo Kigamboni na Mbeya. Jiheshimu bana. Tunaomfahamu mkeo tunasikitika sana. Acha ulimbukeni na tulia na mkeo. Be a real man! 📌📌📌📌
Ubuyu mpya, hebu mwagika vizuri 😹😹

Kwahiyo na babu mnafahamiana?
 
Ha ha ha!! Sumbai unahalalisha chino achepuke? 😹
Si halalishi kabisaa tena nakemea

Ila Sisi wanaume bwana yaan tukiona mkia umenona ujue shetani lazima atuzidi ujanja tunaanguka katika dhambi

Hata maandiko matakatifu yanakubaliana na Mimi, isipokuwa nyinyi hapo Kwa vile farao amefanya moyo yenu kuwa migumu


Ila mtusameee tuu
 
Back
Top Bottom