Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,850
Uvumilivu utanishinda we endelea tu 😔Umemvulia chino sana mwaka wa ngapi huu? Haha hata kabla the outbreak ya WW1 ya selfika.
Sijui hata na type nini hapa ushanivuruga kabisa ujue
Uvumilivu utanishinda we endelea tu 😔Umemvulia chino sana mwaka wa ngapi huu? Haha hata kabla the outbreak ya WW1 ya selfika.
Sijui hata na type nini hapa ushanivuruga kabisa ujue
😹😹😹 Uvurugike vizuri uache kukodolea mademu wengine..!!Umeamua kunivuruga kabisa Leo haha
Uzuri wako au fall Kirahisi tu kama asemavyo bulldozer. Wafanye kazi hasa.Uvumilivu utanishinda we endelea tu 😔
😹😹😹 Ndo jeuri yako ilipo kumbe?Uzuri wako au fall Kirahisi tu kama asemavyo bulldozer. Wafanye kazi hasa.
Hiki kitu kinampa nguvu sana chino
Huyu ndugu yangu,Yani Sumbai huoni km chino ananichezea ila umeona mimi ndo namchezea kweli? 😹😹
Muulize kwanza siku zote alikua wapi?
Chino ni kisiki kilichoota shambani kwako hata kwa jembe haking'ooki😹😹😹 Uvurugike vizuri uache kukodolea mademu wengine..!!
Umeona eeh. Kwanza hilo la mjane 🤣. Mjane anatafuta danga huyoUlio nao unanilaza macho😍 hilo ni tende achalo nalo🤣
Hongera una guu la champagneUmeona eeh. Kwanza hilo la mjane 🤣. Mjane anatafuta danga huyo
Unavyojitahidi sasa kumtetea 😹Huyu ndugu yangu,
Anamajukumu muhimu huko porini hamna mtandao.
Tafadhali usimchezeee Chino
Ila chino una maneno lione 😹Chino ni kisiki kilichoota shambani kwako hata kwa jembe haking'ooki
Sumbai 😀
Hahaha yananitoka kwako tu! Ila hutayasikia kwengineko.Ila chino una maneno lione 😹
Kesho naenda kawe kukemea na kuchana kesi hizo.😹😹😹 Hiyo jeuri yako kuna siku itakuisha shauri yako…!!