Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah dogo aka jipange 😂🤣🦅
Mwanaume anamwaga pesa kusifia waachie mashemeji wakwambie jamaa unapoa pazuri..!! 😹😹😹

Sasa yeye anapiga domo tu mia mbovu hana..!! Ila Tayana mdogoangu ana mkosi wa kupata wanaume choka mbaya sijui kwanini?? 🤣😹😹

Itabidi nikamuogeshe mto nzovwe 😹😹
 
Unataka Figo za chino zifeli
Pesa za mahindi toka mwaka jana umekula na wanawake wengine mimi unaniletea story tu..!! 😥😹😹😹

Na huyo dadaako Antonnia ndo hata hajali, nahisi kakutafutia mwanamke mwingine..!!
Nikimuuliza Chinno yukwapi? Ananipostia mihips yake kunikera..!! 😹😹😹

Hiyo familia yenu imenishinda mimi..!! 😥
 
Mwanaume anamwaga pesa kusifia waachie mashemeji wakwambie jamaa unapoa pazuri..!! 😹😹😹

Sasa yeye anapiga domo tu mia mbovu hana..!! Ila Tayana mdogoangu ana mkosi wa kupata wanaume choka mbaya sijui kwanini?? 🤣😹😹

Itabidi nikamuogeshe mto nzovwe 😹😹
Sema una pata unacho stahili, pangu pakavu halafu una taka wa kishua ahh wapi.

gari la mwaka 70 kuli lipia bei ya gen z uongoo😂😂🦅
 
Pesa za mahindi toka mwaka jana umekula na wanawake wengine mimi unaniletea story tu..!! 😥😹😹😹

Na huyo dadaako Antonnia ndo hata hajali, nahisi kakutafutia mwanamke mwingine..!!
Nikimuuliza Chinno yukwapi? Ananipostia mihips yake kunikera..!! 😹😹😹

Hiyo familia yenu imenishinda mimi..!! 😥
Njoo vinane huku
Yote yanazungumzika
 
Back
Top Bottom