Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,068
- 95,656
We nae vipi mabusu ya nini tena 🤔
We nae vipi mabusu ya nini tena 🤔
Tukalale basiWe nae vipi mabusu ya nini tena 🤔
Niende wapi mimi zaidi ya kupigwa na jua kkoo..!! 😹😹Wewe Kila nikikuambia unipeleke huko unapoendaga unanikwepa.
Shida Ni nini lakini mchuchu.
Huogopi snake? 😹Mimi nime vamia pagale la udongo huku nanjilinji, hapa nalala kama msukule 🦅
😹😹😹 Karibu had ndani, nikutandikie red carpet upite mheshimiwa? 🤣hahaha embu nifungulie mageti basi hayo. Acha ukorofi
Usi nirushie stimu, nanjilinji hatu pokei mizimuTukalale basi
Wifi muda ndo huu weka pic basi 😍Tukalale basi
Hiyo ni mboga 🦅Huogopi snake? 😹
Nitaweza gombania kweli mwendokasi?Niende wapi mimi zaidi ya kupigwa na jua kkoo..!! 😹😹
Njoo tuuze vijora kipenzi..!!
Hamna kitu hapo, acha kumuita wifi maana sija kutambulisha bado.Wifi muda ndo huu weka pic basi 😍
Mwambie wifi aselfike basi 😹Hiyo ni mboga 🦅
Kuna utambulisho gani zaidi ya huu.au kuna jambo wataka kunifanyiaHamna kitu hapo, acha kumuita wifi maana sija kutambulisha bado.
Tatizo wewe wa kishua si unaona sasa? 😹😹Nitaweza gombania kweli mwendokasi?
Hahaha acha mizinguo ujue😹😹😹 Karibu had ndani, nikutandikie red carpet upite mheshimiwa? 🤣
😹😹😹 Lakini ulisema ana curve figureHamna kitu hapo, acha kumuita wifi maana sija kutambulisha bado.
Nani tena huyo anampiga kipenzi cha moyo wa cute? 😔Hahaha acha mizinguo ujue
Yani napigwa kkoo.
Na mwenyeji wangu upo hapo
Oya elewa basi., hamna kitu hapo usi kute ni shumiletaMwambie wifi aselfike basi 😹
Mbona mnakataana dakika za jioni tena?Oya elewa basi., hamna kitu hapo usi kute ni shumileta