Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah dogo aka jipange ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿฆ…
Mwanaume anamwaga pesa kusifia waachie mashemeji wakwambie jamaa unapoa pazuri..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa yeye anapiga domo tu mia mbovu hana..!! Ila Tayana mdogoangu ana mkosi wa kupata wanaume choka mbaya sijui kwanini?? ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Itabidi nikamuogeshe mto nzovwe ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Unataka Figo za chino zifeli
Pesa za mahindi toka mwaka jana umekula na wanawake wengine mimi unaniletea story tu..!! ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Na huyo dadaako Antonnia ndo hata hajali, nahisi kakutafutia mwanamke mwingine..!!
Nikimuuliza Chinno yukwapi? Ananipostia mihips yake kunikera..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hiyo familia yenu imenishinda mimi..!! ๐Ÿ˜ฅ
 
Mwanaume anamwaga pesa kusifia waachie mashemeji wakwambie jamaa unapoa pazuri..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa yeye anapiga domo tu mia mbovu hana..!! Ila Tayana mdogoangu ana mkosi wa kupata wanaume choka mbaya sijui kwanini?? ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Itabidi nikamuogeshe mto nzovwe ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sema una pata unacho stahili, pangu pakavu halafu una taka wa kishua ahh wapi.

gari la mwaka 70 kuli lipia bei ya gen z uongoo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿฆ…
 
Pesa za mahindi toka mwaka jana umekula na wanawake wengine mimi unaniletea story tu..!! ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Na huyo dadaako Antonnia ndo hata hajali, nahisi kakutafutia mwanamke mwingine..!!
Nikimuuliza Chinno yukwapi? Ananipostia mihips yake kunikera..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hiyo familia yenu imenishinda mimi..!! ๐Ÿ˜ฅ
Njoo vinane huku
Yote yanazungumzika
 
Back
Top Bottom