Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujui vitu vizuri wewe, pambana na tandam lako 😂
Bro hongereni wewe na kikongwe wako 🤔 🦅 😂
Screenshot_20250721-012115_1.jpg
 
Sija fikia level hizo mdogo wangu, beside picha zake nazi jua Sana😂😂
Hakuna kujifanya unazijua, unatamba nae kwa mdomo tu kama waimba taarabu 😂

Mama mtu wangu hana baya mapema tu kashusha yake mwambie na tandam wako ashushe yake 😂

Mama mtu Tayana-wog leo nipo nae huyu naona amekuzoea vibaya.
 
Sasa 2010 mimi na wewe tulikuwa bado primary, dem wako alikuwa asha pelekewa mahari 😂🦅
 
Sasa 2010 mimi na wewe tulikuwa bado primary, dem wako alikuwa asha pelekewa mahari 😂🦅
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji 😂

We imba nyimbo zote ila hunizuii kula raha na Tayana-wog, kifupi ni kwamba navimba nae popote 😍.

Njoo uvimbe na wako kama hiyo jeuri unayo 😂
 
Back
Top Bottom