Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,329
Niweke ile picha yetu??Cammilla lete picha yako 😂🦅
😂😂😂😂😂mambo yameshaharibika hapaCammilla hebu lete ile picha yako, waone slim curve figure 😂🦅
Hapo kwenye T tatu nakataa niko na T mbili tu ya juu na ya chini..kiufupi niko vizuri😹😹😹 Wifi Cammilla em njoo uwaonyeshe ulivyo kisu hawa mashem wenye midomo..!!
Niko hapa love😍😍😍.Nilikumiss pianishtue Cammilla akija, sasa hivi naenda kuzurura tu
Selfika tuone, kwanini tuandikie mate... 😂Hapo kwenye T tatu nakataa niko na T mbili tu ya juu na ya chini..kiufupi niko vizuri
Hebu selfika nione 😊Hapo kwenye T tatu nakataa niko na T mbili tu ya juu na ya chini..kiufupi niko vizuri
Sinyorita wangu hebu selfika, hata uki ziba sura sio mbaya 😁🦅Niko hapa love😍😍😍.Nilikumiss pia
Ngwee🙌Ma Bro samahani naomba kueleweshwa, hivi ni kweli mapenzi upofu.
au kwa huyu ndugu yetu na kikongwe wake, Kuna ndumba ina tumika 😂🦅😂
Selikavu, dosho12, Edo kissy,View attachment 3414665
Aki jibu ni tag 😁🦅Ngwee🙌
Ndukii🏃Aki jibu ni tag 😁🦅
Acha woga wewe kijana yani battle huliwezi mpaka utafute washirika 😂Aki jibu ni tag 😁🦅
Aweke tuone hizo T2 alizosema 😂Sinyorita wangu hebu selfika, hata uki ziba sura sio mbaya 😁🦅
Acha unaa shemejiSelfika tuone, kwanini tuandikie mate... 😂
Nikiziba sura?hicho unachokitafuta uko chini ni nini??kila kitu ni uhakika .usijalSinyorita wangu hebu selfika, hata uki ziba sura sio mbaya 😁🦅
Mimi ndiyo nina haki ya kumwambia nini cha kufanya, punguza wenge ewe kikongwe owner 😁😂Aweke tuone hizo T2 alizosema 😂
Naona taarab zina anza kuwa nyingi, hebu selfika basiNikiziba sura?hicho unachokitafuta uko chini ni nini??kila kitu ni uhakika .usijal
Selfika tuone kama hakuna T3 shemeji 😂Acha unaa shemeji
Hii mbwa kala mbwa, mbuzi kwenye gunia 😂😂😂Nikiziba sura?hicho unachokitafuta uko chini ni nini??kila kitu ni uhakika .usijal
Mimi mtu wako sana ujue..ebu kagua mafile yako.rudi na majibuNaona taarab zina anza kuwa nyingi, hebu selfika basi