Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Siyo mashindano mkuu ila nimesifia cha kwangu.Kumbe ni mashindano mkuu?
Siyo mashindano mkuu ila nimesifia cha kwangu.Kumbe ni mashindano mkuu?
Atakuja mkuu utaona😃😃😃😹😹😹 Ebu nisaidieni kuniitia wifi Camilla kwanza, hii imenipita mjue..!! 🤣
Mali safi wapi huyo Cammila ukute hata mdogo wake Lamomy Marry ni mzuri 😂Dogo kapata kikongwe, halafu ana lazimisha kufananisha na mali safi 🤣🤣
Basi tufanye wewe na kikongwe wako ndio wazuri 😂🤣Mali safi wapi huyo Cammila ukute hata mdogo wake Lamomy Marry ni mzuri 😂
Ni mwendo wa raha tu 😍😂Kufa hafi ...👌🤣🤣
Kwel lavu iz blind🤣🤣🤣Hongera mkuu ila Tayana-wog wangu kakuzidi mbali sana 😍
Ni kama vile anataka kuchoma utambi kusudi 😂Anajitoa ufahamu🤣🤣
😹😹😹 MmeanzaDogo kapata kikongwe, halafu ana lazimisha kufananisha na mali safi 🤣🤣
Hawezi ruhusu hilo ili umpige chenga ya kisigino 😂Hivi ndo huyu? 😹😹
Em kwanza aselfike nimuone jamani shem 🤣
Duh nilipitwa na usingizi mkuuNisha tupia mkuu, kina mshamba_hachekwi, Edo kissy wali ona
to me, they are all beautiful in their own way , but as a man, I believe its not respectful to compare women' s beauty....Siyo mashindano mkuu ila nimesifia cha kwangu.
Kabaya wap labda kwa kukosa namba yangu🤣🤣🤣😹😹😹👌
Kabisaa hujakosea mimi kabaya kila siku nawaambia hamsikii..!! 🤣
Tushawekwa kwenye mashindano 😹😹Kumbe ni mashindano mkuu?
Hahaha eti kufika 😆 niongezee kapicha tenaMambo ya Mungu mbona ni by default 🤣
Hayo siku yakikufika utayaelewa tu
Usiruhusu hilo babe, rafiki yako ndo adui yako 😂Mpk nimruhusu 🤣🤣
Hii ni vita mula🤣Kumbe ni mashindano mkuu?
Brother 😁Duh nilipitwa na usingizi mkuu
Hii haipo hivyo mkuu.to me, they are all beautiful in their own way , but as a man, I believe its not respectful to compare women' s beauty....
it can hurt their self esteem and beauty means a lot to them....
lamomy has zigo hadi kumwagikiaring... tayana ni mrembo, rangi nzuri..
Vipi bwashee za mda masterBrother 😁