Raba zako Ni kareee adi sio poaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kama mimi 😁 ni chizi wa raba yaani napenda balaa 🙌
Mbona sijaona
Kwaajili yakoMbona sijaona
Kweli tena una mwili mzurii hongera😍😍😍 kawaida tu bhana usinipambe sana
Leo nimeona MjukuuAwwwwwww!! Mtoto uko hottttt🤩🤩🤩🤩🤩🤩!!
Hio Raba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We mzee Grahams umendaswampia wapi ??kuja shuhudia uumbajiiii Usiseme sijakuitaa
Hakika Mjukuu😁😁😁 wacha Babu
Ndiyo hela zangu zinaishiaga huko 😆😆🙌Raba zako Ni kareee adi sio poaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa babu ulinzi kwa Wajukuu zako muhimu!Leo nimeona Mjukuu
Niliandaa miwani yangu mapema kabisa ili nishuhudie live live
Nimeshapiga simu sehemu kwaajili ya kuagiza mbwa wa Kumlinda Mjukuu wangu 😅
Itakuwa vizuri sana babu 😍😊Hakika Mjukuu
Lazima nikulinde Kwa wivu Mkubwa Babu yako 🤗
Sijapenda 😞Mbona sijaona
Hakika, nisingependa Vijana wa hovyo wawasogelee Wajukuu zangu 🤗Kabisa babu ulinzi kwa Wajukuu zako muhimu!
Asante sana ngoja niutunze kwa bidii zoteKweli tena una mwili mzurii hongera
Kabisa babu.Hakika, nisingependa Vijana wa hovyo wawasogelee Wajukuu zangu 🤗
Juzi niliona Kijana mmoja akirusha jiwe juu ya Bati hapa nyumbani ili kujaribu kukuamshaItakuwa vizuri sana babu 😍😊
Nitag jaman🥲Sijapenda 😞
Nawe unawahi kulala mapema Mjukuu kama Mimi Babu yako?Muwe na Usiku mwema wapendwa!!
😄😄akikutana na mbwa wakali na uhakika hatasogeza pua yake tenaJuzi niliona Kijana mmoja akirusha jiwe juu ya Bati hapa nyumbani ili kujaribu kukuamsha
Kesho akifanya tena hivyo, atakutana na Mbwa wakali wakimkimbiza 😅
Yanii Nimeshavimbiwa chakula basi nahisi usingizi tu hapa ! Wacha nipumzishe fuvu tu babuNawe unawahi kulala mapema Mjukuu kama Mimi Babu yako?
Is it well with you?