Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,136
- 6,062
Kwa sasa umri na kg zinanifaa huko mbeleni nitaongezeka tu najua BabuKwa msichana uzito huo sio mbaya, ila ikifikia wakati unapotegemea kuwa Mama
Itafaa zisogee sogee hadi kwenye 68 huko
Kwa sasa umri na kg zinanifaa huko mbeleni nitaongezeka tu najua BabuKwa msichana uzito huo sio mbaya, ila ikifikia wakati unapotegemea kuwa Mama
Itafaa zisogee sogee hadi kwenye 68 huko
Hofu yangu next week nikiingia shambani kuonekana Tena Mjini ni hadi Mwezi UjaoChika mzungu babuu akikuahidi siku nyingine atakuita akubless kuwa mvumilivuu!
Nawe ile siku ulisema utatubles 🤳 Yako mpaka waleo kimyaaa .Do the needful babuu!
Uko sahihi!Kwa sasa umri na kg zinanifaa huko mbeleni nitaongezeka tu najua Babu
Ukiweka yako napita naked Babu 😁Hofu yangu next week nikiingia shambani kuonekana Tena Mjini ni hadi Mwezi Ujao
Nahisi nitapishana nazo tu hizo picha
Yangu soon nitaiweka hapa
Yeah Easy to carry hata mtu akikubeba akazunguka nawe huku anakula vitu burudaaaaniii kabisa.Na mimi napenda nibaki hivi na kilo zangu 52 😌😍
YeahKwa sasa umri na kg zinanifaa huko mbeleni nitaongezeka tu najua Babu
Wacha kabisaaa 😍😌Yeah Easy to carry hata mtu akikubeba akazunguka nawe huku anakula vitu burudaaaaniii kabisa.
Mjukuu unajua vingi, hadi easy to carry 😜🏃🏃🏃Yeah Easy to carry hata mtu akikubeba akazunguka nawe huku anakula vitu burudaaaaniii kabisa.
Kwaajili yako nitaweka soon picha yangu ya Mwaka 47 😅Ukiweka yako napita naked Babu 😁
Hahahahaha... Atakubless tu usijali babu! Sema kiumbe Aliyemfurahisha leo Aishi sanaaaa Ili afurahi na kutubless hivihiviiiiHofu yangu next week nikiingia shambani kuonekana Tena Mjini ni hadi Mwezi Ujao
Nahisi nitapishana nazo tu hizo picha
Yangu soon nitaiweka hapa
Nimekodoa macho hapa nasubiriKwaajili yako nitaweka soon picha yangu ya Mwaka 47 😅
Fanya hivo kabla hakujawa na jam sasaaaKwaajili yako nitaweka soon picha yangu ya Mwaka 47 😅
Sawa Babu nimeona
Wabheja sana kutubles babuuuu!
Waiting for your naked 🙇🙇💃💃💃💃🕺🕺🕺😁😁Sawa Babu nimeona
Nilikuwa nataniaWaiting for your naked 🙇🙇💃💃💃💃🕺🕺🕺😁😁
Ni picha ya Mwaka 47 ujue, sasa nimekuwa Mzee Babu yenu 😅Wabheja sana kutubles babuuuu!
Bado yanki kabisa afu wajiita babu mfyuuuuu!!
Umetokelezeiaa kinoumaa 🤩🤩🤩
Babu kanasa kwenye mtego wako kirahisiiiiii 😁😁😁!Nilikuwa natania