Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,136
- 6,061
🚶🏼♀️ nitarudi badaeKabisaa
🚶🏼♀️ nitarudi badaeKabisaa
😀ngoja nikubless chap
Nimepitwa tena jamani Ussshhungu uliojeee😞😞😞!
Dk sifuri napita kama upepoNimepitwa tena jamani Ussshhungu uliojeee😞😞😞!
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Sauwaasauwaa fanya hivooDk sifuri napita kama upepo
😎 umeridhika sasa?Sauwaasauwaa fanya hivoo
Wacha nikae kodooo 🙇🙇
Portable mmoja matratraaa sana😍😍😍😍🤩🤩🤩!
Yaniiiii meridhika nakufurahi kweli hapa nafsi yangu kwatuuuu!!😎 umeridhika sasa?
Asante sana 😍😍, ndiyo zote nywele zangu, fuga na wewe basi 😊Portable mmoja matratraaa sana😍😍😍😍🤩🤩🤩!
Una kashepu kazuriii hadi raha!!
Kumbe hizo ni rasi zako awwwwwwwwwwwww umenitamanisha kufuga sema kipilipili changu hakikubali hata nifanyeje!!
Shukrani sana kuibles jioni yangu yani hapa nafeel fureeeeesh kabisa
😄😄 asante sana jamani, siyo niongezeke niwe kibonge mwepesi 😊Yaniiiii meridhika nakufurahi kweli hapa nafsi yangu kwatuuuu!!
Una mwili mzurii hongera
Hizi nywele zimenishinda tabia Zinakubali Sasa!!Asante sana 😍😍, ndiyo zote nywele zangu, fuga na wewe basi 😊
Kama hatujaona, tunaruhusiwa kuomba rejeo?😎 umeridhika sasa?
Weee huo mwili ndo mzuri ubonge sana siooo! Yeah uwe kibonge mwepesi but nadhani ni umri with time utanenepa utajaa utakuwa na mwili flani !😄😄 asante sana jamani, siyo niongezeke niwe kibonge mwepesi 😊
😁😁 rejeo siku nyingine tena 🙌Kama hatujaona, tunaruhusiwa kuomba rejeo?
Yaani ile nataka kuvaa miwani nione, nikakuta ushafuta 🙌
Na mimi napenda nibaki hivi na kilo zangu 52 😌😍Weee huo mwili ndo mzuri ubonge sana siooo! Yeah uwe kibonge mwepesi but nadhani ni umri with time utanenepa utajaa utakuwa na mwili flani !
Hahahahaha..
Chika mzungu babuu akikuahidi siku nyingine atakuita akubless kuwa mvumilivuu!
Kwa msichana uzito huo sio mbaya, ila ikifikia wakati unapotegemea kuwa MamaNa mimi napenda nibaki hivi na kilo zangu 52 😌😍