min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,437
- 127,811
Nipo sawa now asante snaPole sana! Vipi Saivi??? Kunywa maji inezasaidia kwikwi kukata!
Sa si uache kunywa hizo biaaa!!!!!
Nipo sawa now asante snaPole sana! Vipi Saivi??? Kunywa maji inezasaidia kwikwi kukata!
Sa si uache kunywa hizo biaaa!!!!!
Uwe na njozi njema, alika Ulinzi wa Mungu katika usiku wako 🙏Yanii Nimeshavimbiwa basi nahisi usingizi tu hapa ! Wacha nipumzishe fuvu tu babu
Amen Amen!Uwe na njozi njema, alika Ulinzi wa Mungu katika usiku wako 🙏
Kabisa, hata lile Tangazo la kuuza ice cream hapa nyumbani tunalifuta kuanzia kesho 😜😄😄akikutana na mbwa wakali na uhakika hatasogeza pua yake tena
🙏🙏🙏Amen Amen!
Kumbe hii mitaa imeanza kuchangamka tena...!!
💃💃💃💃💃Yaniiiii hata msimu ukiisha ahadi ipo paleeeepalee sis asitutaniee😁
Ndio ccy maisha mafupi😍😍😍Hahahahaha..
Unakula maisha tu sis umewakaaaa🤩🤩🤩🤩!
Shingo mwanya awwwwwwwwwwwww!
Irudiwe kipenzi💕💕💕
Ishakukosa iyoo 😂Irudiwe kipenzi💕💕💕
Usinifanyie hivyo bwana Nitumie hata chemba 🙁🙁🙁Ishakukosa iyoo 😂
Sawa imeishaUsinifanyie hivyo bwana Nitumie hata chemba 🙁🙁🙁
😀😀😀 hutaki tena wateja BabuKabisa, hata lile Tangazo la kuuza ice cream hapa nyumbani tunalifuta kuanzia kesho 😜
Sijui unakwama wapi? Kupita naked Mubaba 😂😆Kumbe hii mitaa imeanza kuchangamka tena...!!
Sihitaji tena wateja😀😀😀 hutaki tena wateja Babu
Nyoa tu anza upya, sema muda mwingine dawa zinaharibu sana nyweleHizi nywele zimenishinda tabia Zinakubali Sasa!!
Saivi ndo kabisa zimenyonyoka mbele na nyuma nawaza kuzinyoa tu nilivo na kakichwa kituko Sasa nkiwaza nachoka!
😁😁😁 unataka wafuate utaratibu 😌Sihitaji tena wateja
Hawachelewi kuniibia Mjukuu wangu bure na kumtorosha 🤗
Huku nawaachia vijana mjiachie, zama zetu zimeshapita🤪Sijui unakwama wapi? Kupita naked Mubaba 😂😆