Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,838
- 57,475
Nasubiri yako kabla sijaenda Kulala MjukuuSawa Babu nimeona
Nasubiri yako kabla sijaenda Kulala MjukuuSawa Babu nimeona
Umeona eehBabu kanasa kwenye mtego wako kirahisiiiiii 😁😁😁!
Muonee huruma mzee wawatu chikaa😁😁
Bado sana weye!! Huna uzee wowoteNi picha ya Mwaka 47 ujue, sasa nimekuwa Mzee Babu yenu 😅
Hahaha..............nimejaribu kuhesabu miaka tangu nipige hiyo picha, nimekuta imepita miaka 30 sasa 😅Bado sana weye!! Huna uzee wowote
Hapo ni Royal ama Miami?Nyoshi El -Saadat la Kihesa.View attachment 3412342
🙌 nimekunyooshea mikono una Raba kali sana kila pic ukipost ni moto hongera aseeNyoshi El -Saadat la Kihesa.View attachment 3412342
Njaa tu mimi napenda sana viatu ,sanaaa.🙌 nimekunyooshea mikono una Raba kali sana kila pic ukipost ni moto hongera asee
Pole sana! Vipi Saivi??? Kunywa maji inezasaidia kwikwi kukata!Nasumbuliwa na kwi kwi tu nikinywa badhi ya bia
Here standby 🙇🙇🙇🙇
Ngoja nikulipe
Itakuwa nzuri sanaNgoja nikulipe
Mambo upendayoItakuwa nzuri sana
Kama mimi 😁 ni chizi wa raba yaani napenda balaa 🙌Njaa tu mimi napenda sana viatu ,sanaaa.
Kweli Mjukuu ninaye, kuanzia Leo naenda kuagiza mbwa mkali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa Mjukuu 🤗
Si ndiyoMambo upendayo
😁😁😁 wacha BabuKweli Mjukuu ninaye, kuanzia Leo naenda kuagiza mbwa mkali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa Mjukuu 🤗