Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,136
- 6,061
Siyo kweli wewe, pita mara moja kama upepo 😀😀Huku nawaachia vijana mjiachie, zama zetu zimeshapita🤪
Siyo kweli wewe, pita mara moja kama upepo 😀😀Huku nawaachia vijana mjiachie, zama zetu zimeshapita🤪
Naona uka amua uji sogeze Kigamboni mkuu.
Kila siku naselfka bwashee
usi pende kuwa bingwa wa history bwashee, tuanze leoKila siku naselfka bwashee
Mkileta picha ya pamoja wewe na Cammila nitaleta yangu😃😃
Cammilla lete picha yako 😂🦅Mkileta picha ya pamoja wewe na Cammila nitaleta yangu😃😃
Waanze wengine mim wa mwisho bwasheeusi pende kuwa bingwa wa history bwashee, tuanze leo
Basi mimi ni msimamizi wa hilo zoezi bwasheeWaanze wengine mim wa mwisho bwashee
Mtoto cammila nae yupo chama letu bwashee?Basi mimi ni msimamizi wa hilo zoezi bwashee
Yeye sio jobless, ila ni rafiki yetu wa chama Cha ma jobless pro max.Mtoto cammila nae yupo chama letu bwashee?
Nimeitikia wito ila hiyo selfika ndiyo nini?
Anahisiwa kuwa mwenza wake mtarajiwa kwahiyo huo ni utambulisho usiyo rasmi kwa chama.Mtoto cammila nae yupo chama letu bwashee?
Aongee ukwel🤣🤣🤣akishindwa me nakuletea uzi kaka usome mwenyewe 🤣🤣🤣Mtoto cammila nae yupo chama letu bwashee?
Mkeo anashinda huku kila siku😃😃fukua makaburi unaweza muona😃😃Nimeitikia wito ila hiyo selfika ndiyo nini?
Urafiki which au ndo wa PresD🤣🤣🤣Yeye sio jobless, ila ni rafiki yetu wa chama Cha ma jobless pro max.