Kidevu cha kupasuka😋😋😋
Mambo kama minKidevu cha kupasuka😋😋😋
Tutashindwa kulala wengine duuh
Nasumbuliwa na kwi kwi tu nikinywa badhi ya biaMambo kama min
Onhoo sawa bado hujafika bia ya 10? Maana ulisema nisicheze mbali nyumbani unga Robo 😎😆Ile ile picha nimeongeaza sura kidogo tuView attachment 3411384
Ooooh pole achana nazoNasumbuliwa na kwi kwi tu nikinywa badhi ya bia
Kula maisha Mangi!Nakula bata mpaka nawoneea huruma wengine 😭😭😭😭😭😭
Kwi kwi inanisunbua chika🤔 mpaka majirani zangu walitaka ita policeOnhoo sawa bado hujafika bia ya 10? Maana ulisema nisicheze mbali nyumbani unga Robo 😎😆
Polee sana Shida ni nini? Si wanasemaga ukinywa maji yanasaidia kukata kwikwi hebu jaribuKwi kwi inanisunbua chika🤔 mpaka majirani zangu walitaka ita police
Daah! Polee sana jaribu kubana pumzi kwa dk kadhaa huwa inasaidia piaImenikamatq mpaka sasa , nashindwa hata kuendesha gari nimesimama tu kwa kichaka😔
NgojaDaah! Polee sana jaribu kubana pumzi kwa dk kadhaa huwa inasaidia pia
Aisee 😞 hakuna mtu karibu anaweza kukusaidia?Naipiga mpaka nakosa pumzi
Naona imepungua kidogoDaah! Polee sana jaribu kubana pumzi kwa dk kadhaa huwa inasaidia pia
Fanya hivyo tena hata mara 3Naona imepungua kidogo
pole chukua mfuko au bahasha ufanye kupumua ndani yake au uvute pumziii alafu uvute pumzi alf uibane kwa second kadhaa.Imenikamatq mpaka sasa , nashindwa hata kuendesha gari nimesimama tu kwa kichaka😔
Daah! Polee sanaUsijal nimetulia mahali nasikilizia tu ila bado ipo kwa mbali 😮💨