Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Wee unasemea ipi??? Ulisema unatupia ya tofauti sijui umesema video mi nae kilaza wakwanza nkajua ushatupiaaaaIpi hiyo
Wee unasemea ipi??? Ulisema unatupia ya tofauti sijui umesema video mi nae kilaza wakwanza nkajua ushatupiaaaaIpi hiyo
Mhmmm madam nachoma nyama na kulewa na marafiki zangu hapa ,naomba usifanye hivyo nita kushtua kila nikiweka picha humu😊Wee unasemea ipi??? Ulisema unatupia ya tofauti sijui umesema video mi nae kilaza wakwanza nkajua ushatupiaaaa
Kwahio yatofauti naile kwaleo ndo nikojoe nirare sio dahhh 🤔!!Mhmmm madam nachoma nyama na kulewa na marafiki zangu hapa ,naomba usifanye hivyo nita kushtua kila nikiweka picha humu😊
Nyingi zipo naomba nikupe kesho mahoKwahio yatofauti naile kwaleo ndo nikojoe nirare sio dahhh 🤔!!
Haina noma rafikii ukiweka usisahau kunicall!
Wacha nikapumzishe fuvu langu sasa! Mkuwe na usiku mwema 💤💤💤💤😴😴😴
Haina kweree kesho nayo siku! Enjoy your weekend 🍻🍺Nyingi zipo naomba nikupe kesho maho
Bado kwangu sio weekend 😅😅😅Haina kweree kesho nayo siku! Enjoy your weekend 🍻🍺
Poapoa. Nyie Pigeni ulabuuuu 🍻🍺🍺🍷Wacha mi nirare sasa 💤💤💤💤😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴💤💤💤!Bado kwangu sio weekend 😅😅😅
SafiPoapoa. Nyie Pigeni ulabuuuu 🍻🍺🍺🍷Wacha mi nirare sasa 💤💤💤💤😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴💤💤💤!
Pita na ile shwaaa ya naked kwanza 😂Binti wa zamani binti kidevu ni bless, mamilooo😅
Na za zamani tu , nyingine bado zina tafuta tuPita na ile shwaaa ya naked kwanza 😂
Tupia kabla hawajajaa humuNa za zamani tu , nyingine bado zina tafuta tu
Bina wakunipiga picha ndio sina😁😁😁Bina mbona hujatupia na kafoto kako sasa? 😥
We Mangi wewe, nakuita mara tatu 🤩🤩🤭Nimeondoa kificho Binti wa zamani
Mlevi mmoja tu 😊😊 nipo bia ya 11We Mangi wewe, nakuita mara tatu 🤩🤩🤭
Kwani vipiTupia kabla hawajajaa humu
Washajaa, nitakuita baadayeKwani vipi
Ngoja mimi nitupie wakijaa unyama sana 😅 walevi tunajali basiiii??? Mimi nikizidiwa hoja tu nadai ni ulevi tu🤣🤣🤣Washajaa, nitakuita baadaye
Sawa jilipue tu, siyo shida zako 😆 😂 😂Ngoja mimi nitupie wakijaa unyama sana 😅 walevi tunajali basiiii??? Mimi nikizidiwa hoja tu nadai ni ulevi tu🤣🤣🤣