T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,086
Lamomy😹😹 Wavuta wida msikilizwe kwa wivu mkubwa..!!
Lamomy😹😹 Wavuta wida msikilizwe kwa wivu mkubwa..!!
Nakuzidi wewe? 😹😹😂🤣🤣, nimerudia kusoma comment zako
Wewe chenga, hakya nani vile 🤣🤣
Abeeeh 😀
Ungemuomba waiter bina bhana..!! 😹Bina wakunipiga picha ndio sina😁😁😁
Hujambo mamyAbeeeh 😀
😁😁😁Nilikua nimevaa deraUngemuomba waiter bina bhana..!! 😹
Onhoo sawaNdio , tuendelee tulipoishia rasii
Nasemaje baba Uswege,hayo ndo masuala,Yaani unapiga Kazi then unaupa mwili pole kwenye view nzuri kabisa🤗🤗🤗🤗🤗
Kabisa siku moja moja una tibu mental illness kwa kutembea sema nimetaman ungekuew leo mchuchu wangu mzuri ningetamba sanaaNasemaje baba Uswege,hayo ndo masuala,Yaani unapiga Kazi then unaupa mwili pole kwenye view nzuri kabisa🤗🤗🤗🤗🤗
🤣🤣🤣🤣Kabisa siku moja moja una tibu mental illness kwa kutembea sema nimetaman ungekuew leo mchuchu wangu mzuri ningetamba sanaa
Kabisa chimama nakupenda leo kesho na mpaka kifo🤣🤣🤣🤣
Enjoy mubaba wangu maisha Ni haya haya fanya Kazi then furahisha moyo kidogo rudi Kazini🤗🤗🤗🤗
Hahaha............. bahati nzuri macho yangu ya Uzee hayaoni sawasawa, otherwise Kwa vile vishawishi vyao🤣🤣🤣 Tulia mkuu...wengine tulikuja wenyewe sikuwa na mbeba purse 🤣🤣
Popcorn siku hizi ni mkakati mwingine kuwa makini 😄
Nakupenda pia Mwachi wangu💕💕💕💋💋Kabisa chimama nakupenda leo kesho na mpaka kifo
Sijutii kukupenda zaidi nikutakie siku njemaa sanaNakupenda pia Mwachi wangu💕💕💕💋💋
Raha rahani 🙏🙏🙏🙏Sijutii kukupenda zaidi nikutakie siku njemaa sana
Ngoja nipite kama upepo 🚶🏼♀️