Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,780
- 27,203
Hausimangwi buana, we tupia tu 😅😹😹😹 Naweka tulia kwanza..!!
Tatizo mi kabaya jamani mtanisimanga nikufweee bure..!!
Hausimangwi buana, we tupia tu 😅😹😹😹 Naweka tulia kwanza..!!
Tatizo mi kabaya jamani mtanisimanga nikufweee bure..!!
Na huo mshape wako si mtanifunika bi harusi sasa..!! 😹😹😹Ngoja nifuatilie😁
😹😹😹 Mi wa kwanza kukuomba hivyo anza Wewe mimi nifate..!!😎ukianza naweza kufikiria kupita kama upepo
Thubutuuu!! Wametulia wanasubiri kwa hamu wanichambue km ligi ya EPL 😹😹Siyo kweli bhana
Basi tughairi tu 😄, maana uzi upo moto balaa😹😹😹 Mi wa kwanza kukuomba hivyo anza Wewe mimi nifate..!!
Nilivyo na maadui wengi sasa wanasubiri nitupie wanichambe wohiii..!! 🤣
😅😅😅 kumbe mlikua mnatu zoom tuHivi unajua weee ndo umezingua kuprolong maongezi mfyyyuuuuuu!!!🤨🤨.She was about to 🤳 kabisa dah!
Nimeskip ratiba hivihivi mimiii!!😁😁😂
😀😀 ni shwaa then unadeleteThubutuuu!! Wametulia wanasubiri kwa hamu wanichambue km ligi ya EPL 😹😹
Basi wako maji walipima kwa viwango, mi naona aliyetumwa kumwagia maji alizidisha kipimo ukawa uji..!! 😹😹😹Udongo huo huo ulioumbiwa wewe mahii mzuri mzuri 😅🥰
HahahahahaDomo tu, vitendo aahh..!! 😹😹
😄😄 hatari haikuwa bahati yako leoHivi unajua weee ndo umezingua kuprolong maongezi mfyyyuuuuuu!!!🤨🤨.She was about to 🤳 kabisa dah!
Nimeskip ratiba hivihivi mimiii!!😁😁😂
😹😹😹 Waungwa nawajua wananisuburi wanisulubu..!!Hausimangwi buana, we tupia tu 😅
Na sisi tulishtuka mapema 😁😁😅😅😅 kumbe mlikua mnatu zoom tu
Hahahahaha kumbeMi nlimuona 😁😁ni bwanamdogo flan hivi ambaye umri na muonekano havina uhusiano
Kabisa uzi uli trend😅Na sisi tulishtuka mapema 😁😁
😀😀😀 na bado upo kwenye trendKabisa uzi uli trend😅
Sijui kwanini waliondoa kujua wangapi wanafuatilia😆😀😀😀 na bado upo kwenye trend
😁😁 usikute kulikuwa na pipo kama 60 zinatuzoom tuSijui kwanini waliondoa kujua wangapi wanafuatilia😆
😹😹😹 hamna we tupiaBasi tughairi tu 😄, maana uzi upo moto balaa
Yani min kazingua hasa avokwambia usitupie tena ilikuwa nusura.....! Angejua muda nionyemelea kila sekunde narefresh page 😁😁😁😄😄 hatari haikuwa bahati yako leo